
Aliyekuwa
mnenguaji wa bendi tofauti hapa nchini Tanzania Aisha Madinda afariki
dunia na mwili wake wakutwa umehifadhiwa katika hospitali ya
Mwananyamala.
Marafiki wa aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2013 akitokea Miss Ilala, Martha Gewe wakiwa na huzuni.
Stori: Imelda Mtema KWELI
kifo hakina huruma jamani! Mshiriki wa Miss Tanzania 2013 akitokea Miss
Ilala, Martha Gewe, mkazi wa Tabata Segerea, Dar kuugua ghafla, Ijumaa Wikienda linakupa zaidi.
Martha amekutwa na mauti katika Hospitali ya Mkoa wa Ilala, Amana
jijini Dar es Salaam, Ijumaa iliyopita ambako alikimbizwa baada ya
kuugua na madaktari walibaini kwamba, malaria ilipanda kichwani.
AFYA YAKE SIKU ZA NYUMA